سَكَنَ الْفُؤَادَ فَعِشْ هَنِيئاً يَا جَسَدْ
Amekaa moyoni, basi ishi kwa raha, ee mwili.
Sw
مَدَدْ مَدَدْ مَدَدْ مَدَدْ
مَدَدْ يَا رَسُولَ الله
Msaada msaada msaada msaada
Msaada ee Mtume wa Allah
سَكَنَ الْفُؤَادَ فَعِشْ هَنِيئاً يَا جَسَدْ
هَذَا النَّعِيمُ هُوَ الْمُقِيمُ إِلَى الْأَبَدْ
Amekaa moyoni basi ishi kwa furaha ee mwili
Hii ndiyo neema idumuyo milele na milele
أَصْبَحْتُ فِي كَنَفِ الْحَبِيبِ وَمَنْ يَكُنْ
جَارَ الْحَبِيبِ فَعَيْشُهُ الْعَيْشُ الرَّغَدْ
Umekuwa katika hifadhi ya Mpendwa na yeyote
Anayekuwa jirani wa Mpendwa maisha yake ni ya neema tele
عِشْ فِي أَمَانِ اللَّهِ تَحْتَ لِوَائِهِ
لَا خَوْفَ فِي هَذَا الْجَنَابِ وَلَا نَكَدْ
Ishi katika amani ya Allah chini ya bendera Yake
Hakuna hofu katika upande huu wala taabu
لَوْ أَبْصَرَ الشَّيْطَانُ طَلْعَةَ نُورِهِ
فِي وَجْهِ آدَمَ كَانَ أَوَّلَ مَنْ سَجَدْ
Lau kama Shetani angeona mng'ao wa nuru yake
Katika uso wa Adamu angekuwa wa kwanza kusujudu
لَكِنَّ جَمَالَ اللَّهِ جَلَّ فَلَا يُرَى
إِلَّا بِتَخْصِيصٍ مِنَ اللَّهِ الصَّمَدْ
Lakini uzuri wa Allah umetukuka hauonekani
Ila kwa upendeleo maalumu kutoka kwa Allah Mtegemewa