يَاعُمْدَتِي ياعُدَّتِي
Ee Nguzo yangu, Ee Akiba yangu
Sw
يَاعُمْدَتِي ياعُدَّتِي
يامُنْقِذِي مِنْ شِدَّتِي
Ewe tegemeo langu na akiba yangu
ewe mwokozi wangu katika shida yangu
وَجَّهْتُ لَكَ وِجْهَتِي
عَجِّلْ بِغَوْثِي ياعَظِيمْ
Nimeelekeza kwako mwelekeo wangu
harakisha msaada wangu ewe Mkuu
وَسَخِّرِ الْأَسْبَابَا
وَذَلِّلِ الْصِّعَابَا
Na utitiishe mbinu na sababu
na uvilainishe vilivyo vigumu
وَافْتَحْ لَنَا الْأَبْوَابَا
بِالْنَّصْرِ مِنْكَ ياكَرِيمْ
Na utufungulie milango
kwa ushindi kutoka Kwako ewe Karimu
وَرُدَّ كَيْدَ الْكَائِدِ
وَكُلَّ طَاغٍ مَارِدِ
Na urudishe vitimbi vya mwenye vitimbi
na kila mjeuri aliye muasi
وَحَاسِدٍ مُعَانِدِ
بِحَقِّ سِرْ (طسٓمٓ )
Na kila hasidi mwenye ushupavu
kwa haki ya siri ya (Ta-Sin-Mim)